dokeza
1. Toa fununu bila kueleza jambo lote. 2. Toa habari za juu juu au maelezo machache. 3. Weka au tia kiasi kidogo.
Vimepatikana vidahizo 327 vinavyoishia kwa silabi za.
1. Toa fununu bila kueleza jambo lote. 2. Toa habari za juu juu au maelezo machache. 3. Weka au tia kiasi kidogo.
1. Ingia mahali bila mwaliko. 2. Peleleza au sikiliza kwa siri.
Punguza au zuia ukuaji wa kitu.
Anzisha undugu wa kiibada kwa kuchanjiana damu.
Weka au kusanya kiasi kidogo kila mara ili kiwe kingi.
Fanya mtu astaajabu au abaki na bumbuwazi.
Weka mtu au kitu katika nafasi ya kupata msaada wa kuegemea.
Onyesha njia au namna ya kufanya jambo.
Toa taarifa zinazofafanua jambo.
Mruhusu mtu aendelee kufanya apendavyo bila kumkanya.
1. Fanya jambo liendelee au lipate maendeleo. 2. Ongeza elimu au ustadi wa mtu. 3. Taja au andika herufi zinazounda neno kwa mpangilio.
1. Elekeza macho ili utazame kitu. 2. Pata kipimo cha kitu.
Fanya kitu kifike sehemu nyingi.
Kadiria au pima urefu na ukubwa wa kitu.
Mlaghai mtu kwa kumdanganya.
1. Sehemu ya jokofu ya kugandishia vyakula na kutengeneza barafu. 2. Kifaa kinachogandisha vyakula au vinywaji.
1. Geuza kitu upande wa juu uelekee chini. 2. Tawanya harufu katika sehemu fulani.
1. Penyesha moshi wa manukato kwenye eneo au mavazi. 2. Mgubike mgonjwa kwa mafusho katika tiba ya desturi.
Mtendee aliyefunga jambo linalobatilisha saumu yake.
Geuza kitu upande uliokuwa juu uwe chini.
1. Mpe mtu mafunzo ya jambo. 2. Mwelekeze mtu katika jambo asilolijua. 3. Mdudu anayepenya ngozi, hasa kwenye vidole vya miguu. 4. Kiluwiluwi ch...
1. Kibofu cha mnyama cha kuhifadhia mkojo. 2. Kitu cha mpira kilichopanuliwa kwa kujazwa hewa.
Endelea bila kukatika au kusita.
Ingiza kimiminika mdomoni kwa kukivuta.
Toa jibu la dhihaka.
Sukuma kitu kipenye kwa nguvu.
Shindilia kitu chini kwa kukipa nguvu kutoka juu.
Jishughulishe na kingine ili usisikilize au kujibu.
Sema kwa kusitasita kama mwenye kigugumizi.
1. Mfanye mtu ageukegeuke akiwa amelala. 2. Mpige mtu na kumwangusha kwa kumzidi nguvu.
Acha kuendelea na jambo.
Mahali pa kuwafungia watu kwa amri ya kisheria.
1. Fanya kitu kielekee upande tofauti. 2. Toa upande wa ndani wa kitu uwe nje. 3. Badili kitu kipate umbo, sura au hali mpya.
1. Jaribu kitu kwa kukipima. 2. Linganisha vitu ili kubaini uwiano wao.
Rudiarudia jambo kwa lengo la kumkera mtu.
1. Hali ya kukosekana kwa mwanga. 2. Hali ya kutofahamu jambo.
1. Sema maneno kwa kusitasita au kigugumizi. 2. Tilia jambo mkazo katika kauli.
Kemea mtu kwa maneno makali ili aache jambo.
1. Ondoa maganda ya nafaka kwa kutwanga au kukoboa. 2. Tafunatafuna kwa namna ya asiye na meno.
Twanga nafaka ukielekeza mchi pembeni mwa kinu.
1. Ondoa majani kwa kukwaruza juu ya ardhi bila kuichimbua sana. 2. Sema kwa kusitasita kwa kutofahamu lugha vizuri. 3. Zuia au komesha jambo.
Rekebisha kitu kilichoharibika kwa kukiunda upya.
Enea sehemu yote, hasa kwa sauti kubwa.
Haki ya kisheria ya kuzuia matumizi yasiyoruhusiwa ya uvumbuzi.
Mwonye mtu aache jambo lenye hatari.
Mfanye mtu ashangae na abaki butwaa.
Kamba ya kuinulia na kushushia tanga au bendera jahazini.
Mvuruge mtu ashindwe kutenda jambo.
Mshawishi mtu atekeleze jambo kwa bidii.
Ingilia mazungumzo kwa kelele au sauti kubwa.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.