tagusa
1. Ishi kwa kushirikiana na watu wengine. 2. Ingilia mazungumzo au jambo la wengine.
Vimepatikana vidahizo 124 vinavyoishia kwa silabi sa.
1. Ishi kwa kushirikiana na watu wengine. 2. Ingilia mazungumzo au jambo la wengine.
Safisha mpaka uchafu uondoke kabisa.
Shairi lenye mishororo mitano katika kila ubeti.
Makuti ya kufunika pembezoni mwa kisusi cha paa.
1. Mwanamke au mnyama wa kike asiyeweza kupata watoto. 2. Namba kamili kubwa kuliko 1 yenye vigawo viwili tu: 1 na yenyewe. 3. Chombo cha kupokel...
Shairi ambalo ubeti wake una mistari sita.
Fanya jambo zaidi ya kiasi kinachofaa.
Mletee kiumbe maumivu au taabu.
1. Sogeza kitu kwa nguvu huku na huku. 2. Mtishe mtu ili akubali unalotaka.
Idadi inayofuata nane na kutangulia kumi.
Pika kwa kuchemsha bila kuongeza viungo.
Gusa kitu kwa kukifinyafinya kwa upole.
1. Ingiza kitu ndani ya kimiminika. 2. Mwingize mtu katika matatizo. 3. Iliyokaribia kuiva.
Shikilia mkono ulioumia kwa kitambaa cha kuning’iniza shingoni.
1. Pumua kwa kasi huku moyo ukienda mbio. 2. Tembea huku ukipapasa njia.
Mazoea ya kununua vitu bila sababu ya msingi.
Upande mmoja wa karatasi ya kitabu au daftari ambao huandikiwa au kuchapishwa maandishi au picha.
Nafasi ya mamlaka ya ofisa.
Mambo na mwenendo wa wakati wa sasa.
Hali ya mwanamke kutoweza kupata ujauzito.
Ubao wa kushikilia kuta wakati wa ujenzi.
Kuokoa kwa kupeleka mahali salama.
1. Kukataza au kuonya mtu. 2. Ubao wa kuziba nafasi katika jengo.
Kwa juhudi na haraka bila kupoteza muda.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.