1. Ingiza kitu ndani ya kimiminika.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Mpishi ametosa andazi kwenye tui.
2. Mwingize mtu katika matatizo.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Ahadi ya uongo imemtosa katika deni.
3. Iliyokaribia kuiva.
Kivumishi
Mfano wa matumizi
Embe hili ni tosa.
1. Immerse; put something into a liquid.
Kitenzi
Example
The cook has dipped the fritter in coconut milk.
2. Plunge into trouble; cause someone to face difficulties.
Kitenzi
Example
The false promise has plunged him into debt.
3. Nearly ripe; approaching full ripeness.
Kivumishi
Example
This mango is nearly ripe.
1. Immerger; mettre une chose dans un liquide.
Kitenzi
Exemple
Le cuisinier a plongé le beignet dans le lait de coco.
2. Plonger dans les difficultés; mettre quelqu’un en difficulté.
Kitenzi
Exemple
La fausse promesse l’a plongé dans les dettes.
3. Presque mûr; proche de la pleine maturité.
Kivumishi
Exemple
Cette mangue est presque mûre.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi