Vinjari kwa Silabi

Silabi: ku

Vimepatikana vidahizo 70 vinavyoishia kwa silabi ku.

Ukurasa 2 / 2 Jumla 70

Vidahizo

20 kwenye ukurasa huu

suduku

1. Thibitisha kuwa tukio lilitokea. 2. Kubali jambo kuwa linafaa au ni la kweli.

sumaku

1. Kitu chenye nguvu ya kuvuta chuma. 2. Nguvu ya mvutano inayotokana na usumaku.

sumbukuku

1. Mtoto aliyefiwa na wazazi wake wote. 2. Mtu asiye na ndugu wala jamaa. 3. Mtu mwenye kuishi au kukaa peke yake.