1. Thibitisha kuwa tukio lilitokea.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Watu wawili walisuduku kutokea kwa mkutano.
2. Kubali jambo kuwa linafaa au ni la kweli.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Wajumbe walisuduku pendekezo la mwenyekiti.
1. Verify; establish that an event happened.
Kitenzi
Example
Two people verified that the meeting had taken place.
2. Agree; accept or endorse a statement or proposal.
Kitenzi
Example
The delegates endorsed the chairperson's proposal.
1. Vérifier; établir qu'un événement s'est produit.
Kitenzi
Exemple
Deux personnes ont confirmé que la réunion avait eu lieu.
2. Approuver; accepter une affirmation ou une proposition.
Kitenzi
Exemple
Les délégués ont approuvé la proposition du président.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi