Vinjari kwa Silabi

Silabi: ji

Vimepatikana vidahizo 636 vinavyoishia kwa silabi ji.

Ukurasa 5 / 13 Jumla 636

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

uamuaji

1. Kuwatenganisha au kuwazuia wanaogombana waache. 2. Usimamizi wa maamuzi katika mchezo wa ushindani.

ubakaji

1. Kumkamata mtu kwa nguvu na kumpora mali. 2. Kumwingilia mwanamke kingono bila ridhaa yake.

ubambanyaji

1. Urekebishaji wa kitu kilichoharibika kitumike tena. 2. Kufanya kazi ambayo huna ujuzi nayo vizuri.