Uwekaji wa nyama au samaki juu ya moto ikauke.
Nomino
Mfano wa matumizi
Ubanikaji wa samaki unaendelea.
Dry-roasting; placing meat or fish over heat to dry.
Nomino
Example
The drying of fish over heat is continuing.
Séchage au feu; exposition de viande ou de poisson à la chaleur.
Nomino
Exemple
Le séchage du poisson au feu se poursuit.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi