Vinjari kwa Silabi

Silabi: goo

Vimepatikana vidahizo 10 vinavyoishia kwa silabi goo.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 10

Vidahizo

10 kwenye ukurasa huu

gogoo

1. Kifungo cha mbao cha kumzuia mtu. 2. Hali ya mtu kufanya mapenzi na aliyekuwa mwenzi wake kabla ya talaka.

jogoo

1. Kuku wa kiume aliyekomaa. 2. Mtu aliyewazidi wengine katika ushindani au ujuzi.

kijogoo

1. Mtu mwenye uhodari na ukakamavu katika jambo. 2. Kijana wa kiume anayependa kuwafuata wanawake. 3. Samaki wa baharini wa mviringo mwenye pezi ...