Wakati wa alfajiri unaotambulishwa kwa kuwika kwa jogoo.
Nomino
Mfano wa matumizi
Wasafiri waliondoka majogoo.
Cockcrow; the dawn period when roosters crow.
Nomino
Example
The travellers left at cockcrow.
Chant du coq; moment de l'aube où les coqs chantent.
Nomino
Exemple
Les voyageurs sont partis au chant du coq.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi