Siku inayofuata mtondo, ya tano ukihesabu leo.
Nomino
Mfano wa matumizi
Wageni watafika mtondogoo.
Four days from today; fifth day counting today.
Nomino
Example
The visitors will arrive four days from today.
Dans quatre jours; cinquième jour en comptant aujourd'hui.
Nomino
Exemple
Les visiteurs arriveront dans quatre jours.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi