Vinjari kwa Silabi

Silabi: gaa

Vimepatikana vidahizo 11 vinavyoishia kwa silabi gaa.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 11

Vidahizo

11 kwenye ukurasa huu

agaa

1. Kuanguka au kuponyoka kutoka mkononi. 2. Kumiminika au kutawanyika kutoka mahali palipokuwa pamekizuia kitu.

dagaa

1. Mtu au kitu kinachodharauliwa kuwa hakina umuhimu. 2. Samaki wadogo, mara nyingi wenye rangi ya fedha.

mgaagaa

1. Mti wa pwani wenye majani mapana kama ya mlakasa. 2. Mtu anayetembea kutafuta mahitaji ya maisha.