Maana 1
Kusambaa au kuenea sehemu nyingi bila utaratibu au mpangilio.
Mfano wa matumizi: Maji yalizagaa sakafuni baada ya ndoo kuanguka.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.