tagaa

0

1. Tawi la mti.

Nomino
Mfano wa matumizi Tagaa la mwembe lilifika juu ya paa.

2. Tembea miguu ikiwa imetengana kwa upana.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alitagaa polepole njiani.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →