Vinjari kwa Silabi

Silabi: dio

Vimepatikana vidahizo 7 vinavyoishia kwa silabi dio.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 7

Vidahizo

7 kwenye ukurasa huu

mshindio

1. Ufumaji wa kitanda kwa kutumia ukili. 2. Mlo pekee unaoliwa kwa siku. 3. Mstari wa wima wa pembeni kushoto mwa ukurasa. 4. Mstari wowote ulio...

redio

1. Kifaa kinachopokea matangazo na kuyatoa kama sauti. 2. Mfumo wa kutangaza habari na sauti kwa mawimbi ya redio.

studio

1. Mahali pa kupigia na kutengenezea picha. 2. Chumba cha kuandalia au kurushia matangazo. 3. Chumba ambamo msanii hufanyia kazi.