studio

0

1. Mahali pa kupigia na kutengenezea picha.

Nomino
Mfano wa matumizi Mutesi alipigwa picha katika studio.

2. Chumba cha kuandalia au kurushia matangazo.

Nomino
Mfano wa matumizi Mtangazaji alisoma habari akiwa studio.

3. Chumba ambamo msanii hufanyia kazi.

Nomino
Mfano wa matumizi Mchoraji alirudi studio kukamilisha kazi yake.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →