Vinjari kwa Silabi

Silabi: be

Vimepatikana vidahizo 73 vinavyoishia kwa silabi be.

Ukurasa 1 / 2 Jumla 73

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

abe

1. Kiitikio cha kuitwa katika matumizi ya kimapokeo ya wanawake. 2. Kiitikio cha kuomba jambo lirudiwe kwa kutolisikia vizuri.

bembe

1. Vyakula mbalimbali vitamu vinavyotayarishwa na mwanamke na kupelekwa kwa mwanamume kama zawadi. 2. Yenye uwezo au tabia ya kushawishi na kutong...

furukombe

1. Ndege mkubwa wa namna ya tai anayewinda wanyama wadogo. 2. Kobe, katika matumizi haya ya jina.

halambe!

1. Mwito wa kuunganisha nguvu katika kazi nzito. 2. Mwito wa ushirikiano wa watu katika kujiletea maendeleo. 3. Mkutano wa kukusanya michango ya ...

jalbe

1. Uchimbuaji wa udongo kuzunguka mche kuondoa magugu. 2. Fungu la udongo uliotifuliwa na kupandwa mbegu.

kibe

1. Mchezo wa watoto kujificha na kutafutana. 2. Mkusanyiko wa sauti zenye vurugu.

kijumbe

1. Mtu anayewatafutia wengine wenzi wa mahusiano. 2. Mwakilishi wa mazungumzo ya kuomba ndoa. 3. Mtangazaji wa habari kwa watu wa kijiji au mtaa.

kivimbe

1. Mzingo unaozunguka kitu cha mviringo. 2. Sehemu ya mwili iliyovimba na kujitokeza.

kobe

1. Mnyama wa nchi kavu mwenye gamba gumu na mwendo wa taratibu. 2. Jina la utani kwa mtu ambaye hakufunga Ramadhani.

kombe

1. Chombo cha mviringo chenye sehemu ya ndani iliyobonyea. 2. Tuzo ya chombo cha thamani inayokabidhiwa mshindi wa mchezo. 3. Maji ya kusuzia maa...

mbabe

1. Mtu mwenye mwili mkubwa na nguvu nyingi. 2. Shujaa mkuu wa kazi ya hadithi au filamu.

mbembe

1. Mtu mwenye mazoea ya kutongoza mara nyingi. 2. Mtu anayetajwa kuwa na uasherati mwingi.

mjumbe

1. Mtu aliyetumwa kufikisha habari. 2. Mwakilishi aliyeteuliwa kuhudhuria mkutano kwa niaba ya wengine.

mkambe

1. Sauti ya maji kupigwa na anayeogelea. 2. Mlio wa pigo la mkia wa chatu akishika windo.

mlembe

1. Kitambaa au pamba ya kufyonza damu ya hedhi. 2. Ndege mwenye kifua chekundu anayependa asali.

mpambe

1. Mtu anayemsindikiza na kumhudumia bwana au bibi harusi. 2. Mlinzi binafsi wa mtu mashuhuri. 3. Mtu anayependa kujipamba na kuwa maridadi.

mpigadebe

1. Mtu anayewaita abiria wapande mabasi. 2. Mtu anayetoa maelezo ya utetezi kwa niaba ya wengine.

mzembe

1. Mtu anayefanya jambo bila umakini wa kutosha. 2. Mtu anayefanya kazi kwa uvivu na ulegevu.

ng'ombe

1. Mnyama wa kufugwa anayefanana na nyati na kutoa nyama, maziwa na ngozi. 2. Ngoma zinazohusishwa na kupunga pepo au mashetani.

ngebe

1. Maneno yasiyo na maana au yenye kujigamba. 2. Mtu anayepayuka au kuropoka sana.