1. Kwa namna isiyofuata mpangilio.
Kielezi
Mfano wa matumizi
Vifaa viliwekwa msobesobe.
2. Bila kukubali kwa hiari.
Kielezi
Mfano wa matumizi
Alipelekwa huko msobesobe.
1. Haphazardly; without order or method.
Kielezi
Example
The equipment was put down haphazardly.
2. Unwillingly; without consent or free choice.
Kielezi
Example
He was taken there against his will.
1. Pêle-mêle; sans ordre ni méthode.
Kielezi
Exemple
Le matériel a été posé pêle-mêle.
2. Contre son gré; sans consentement ni libre choix.
Kielezi
Exemple
Il y a été conduit contre son gré.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi