Vinjari kwa Silabi

Silabi: ba

Vimepatikana vidahizo 209 vinavyoishia kwa silabi ba.

Ukurasa 5 / 5 Jumla 209

Vidahizo

9 kwenye ukurasa huu

vimba

1. Kutuna au kufura. 2. Kukasirika sana. 3. Kuongezeka unene wa mwili. 4. Kuezeka nyumba.

yumba

1. Kusogea upande mmoja na mwingine bila kutulia. 2. Kukosa msimamo wa kudumu katika jambo.