vimba

0

1. Kutuna au kufura.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mkono wake umevimba.

2. Kukasirika sana.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alivimba baada ya kusikia shutuma.

3. Kuongezeka unene wa mwili.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Amevimba tangu mwaka jana.

4. Kuezeka nyumba.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mafundi walivimba nyumba kwa makuti.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →