Vinjari kwa Silabi

Silabi: ta

Vimepatikana vidahizo 262 vinavyoishia kwa silabi ta.

Ukurasa 1 / 6 Jumla 262

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

adapta

Kifaa kinachodhibiti kiwango cha umeme unaoingia katika kifaa kingine ili kiwango hicho kikifae.

bata

Ndege wa majini wa kufugwa au wa porini mwenye miguu yenye ngozi kati ya vidole inayomsaidia kuogelea.

batabata

1. Kutembea huku wayo mzima ukilazwa ardhini bila kuinua kisigino ipasavyo. 2. Yenye sehemu ya chini iliyo bapa au tambarare.

bodidota

Kifaa chenye vitufe vya kuingizia maandishi au amri kwenye kompyuta, au vya kupigia muziki kwenye ala kama piano.

bukta

Suruali fupi laini, mara nyingi ya michezo, inayoshikiliwa kiunoni kwa mshipi au lastiki.

bunta

1. Sehemu ya bandarini ya kushusha au kupakia abiria na mizigo; gati. 2. Kiwanda au karakana ya kutengenezea vyombo vya majini. 3. Eneo la ufukwe...

bwata

1. Sema mengi yasiyo na maana, mara nyingi kwa sauti ya juu. 2. Angusha kitu chini kwa nguvu hadi kivunjike.

bweta

1. Kisanduku kidogo cha kuhifadhia vitu vya thamani. 2. Pumua kwa nguvu au haraka; hema.

chonyota

1. Toa hisia ya kuwasha au kuungua, kama kidonda kinapoguswa na dawa kali. 2. Pata maumivu ya kuchomachoma. 3. Dondoka kwa matone madogomadogo ku...

data

1. Toa mlio mfupi wa kitu chembamba kuvunjika. 2. Kwama na ushindwe kujinasua. 3. Taarifa zinazotumiwa kueleza au kuchambua hali halisi.

dota

1. Kula au kunyakua chambo kwa kiumbe wa majini. 2. Gusa au chukua chakula kidogo ili kuonja ladha.

fuata

1. Nenda pamoja na mtu ukiwa nyuma yake. 2. Nenda kule mtu alikokwenda au anakoelekea. 3. Iga tabia au matendo ya mwingine. 4. Shikilia imani fu...

fukuta

1. Washa au chonyota kama kidonda kilichotiwa dawa. 2. Waka ndani kwa ndani bila miale ya moto. 3. Chochea moto kwa hewa ya kiriba au mfuko.

futa

1. Ondoa maandishi kwa kupangusa. 2. Tangua uhalali wa jambo. 3. Piga mstari juu ya maandishi yasiyohitajika. 4. Malizia mtu mali au pesa zake, ...

fyata

1. Shikilia kitu kwa kukibana katikati ya mapaja. 2. Kaa kimya bila kusema. 3. Kifaa cha kurushia vitu kidogo kiitwacho manati.