Vinjari kwa Herufi

Herufi: P

Vimepatikana vidahizo 574 vinavyoanza na herufi P.

Ukurasa 1 / 12 Jumla 574

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

paa

1. Ruka au elea kuelekea juu angani. 2. Kwangua magamba ya samaki kabla ya kumpika. 3. Toa makaa ya moto kutoka jikoni. 4. Sehemu ya juu inayofu...

pacha

1. Mmoja wa watoto wawili waliozaliwa katika uzao mmoja. 2. Sehemu ambapo vitu viwili vinapoanzia kutengana. 3. Vyenye vitu viwili vya aina moja ...

pachika

1. Ingiza kitu katika nafasi kati ya vingine. 2. Mpe mtu cheo au sifa asiyoistahili.

pakanga

1. Mchanganyiko wa dawa ya jadi unaotumiwa kusingia. 2. Uchungu unaotokana na kuumia.

pakia

1. Ingiza mizigo au abiria katika chombo cha usafiri. 2. Hamisha faili kutoka kifaa chako kwenda mfumo mwingine.

pakua

1. Hamishia chakula kutoka chomboni hadi kwenye sahani. 2. Shusha mizigo kutoka katika chombo cha usafiri. 3. Pokea faili kutoka mfumo wa mbali h...

palia

1. Kwamiwa na chakula au maji katika njia ya hewa. 2. Ng'oa au lima magugu kati ya mazao.

pamba

1. Nyuzi laini nyeupe zinazotokana na mpamba. 2. Chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya safari. 3. Zonga kitu kwa kiasi kikubwa. 4. Ongeza uzuri k...