Maana 1
Kufanya au kutokea kwa kiwango kikubwa kuliko ilivyotarajiwa au ilivyowekwa; kuzidi mipaka.
Mfano wa matumizi: Matumizi ya chumvi kwenye chakula yamepindukia.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.