kuliko

0

1. Kwa kuzidi katika ulinganisho.

Kielezi
Mfano wa matumizi Mti huu ni mrefu kuliko ule.

2. Mahali palipo na jambo linalorejelewa bila kutajwa wazi.

Kiwakilishi
Mfano wa matumizi Kuliko na ngoma ni wapi?
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →