1. Kupita kiwango au idadi iliyowekwa.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Mzigo ulizidi uzito ulioruhusiwa.
2. Kuendelea kuongezeka kwa kiasi au ukali.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Mvua ilizidi kunyesha.
1. Exceed; go beyond a stated amount or limit.
Kitenzi
Example
The load exceeded the permitted weight.
2. Increase further; continue growing in amount or intensity.
Kitenzi
Example
The rain grew heavier.
1. Dépasser; aller au-delà d’une quantité ou d’une limite fixée.
Kitenzi
Exemple
Le chargement dépassait le poids autorisé.
2. S’accroître; continuer à augmenter en quantité ou en intensité.
Kitenzi
Exemple
La pluie s’est intensifiée.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Tanbihi
Uelekezi hutofautiana kwa maana: 1: elekezi; 2: sielekezi.