pungua

0

1. Kuwa chini ya kiasi kinachotakiwa au kutotimia.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Fedha zimepungua katika hesabu.

2. Kutoifikia hatua ya urefu unaohitajika.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Kamba imepungua kufika ng'ambo ya mto.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →