Maana 1
Hisia ya upendo, mapenzi au hali ya kumpenda mtu, kitu, au jambo kwa dhati.
Mfano wa matumizi: Pendo la wazazi kwa watoto wao halina kifani.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.