mkojo

Kimiminika cha taka kinachotolewa na mwili wa binadamu au mnyama kupitia njia ya haja ndogo baada ya kuchujwa na figo.

Kimiminika cha taka kinachotolewa na mwili kupitia njia ya haja ndogo.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiswahili asilia