Maana 1
Hitaji muhimu la mtu au jambo linalotakiwa ili kutimiza shabaha fulani.
Mfano wa matumizi: Kila binadamu ana haja ya chakula na maji.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.