1. Sehemu iliyochaguliwa kuwakilisha vitu vya aina yake.
Nomino
Mfano wa matumizi
Fundi alileta sampuli ya kitambaa.
2. Namna kitu kilivyoundwa au kupangwa.
Nomino
Mfano wa matumizi
Tulipendelea sampuli ya pili ya kiti.
1. Sample; a portion selected to represent a larger set.
Nomino
Example
The tailor brought a fabric sample.
2. Design; the form or pattern of something.
Nomino
Example
We preferred the second chair design.
1. Échantillon; portion choisie pour représenter un ensemble.
Nomino
Exemple
Le tailleur a apporté un échantillon de tissu.
2. Modèle; forme ou disposition caractéristique d'un objet.
Nomino
Exemple
Nous avons préféré le deuxième modèle de chaise.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi