Maana 1
Neno linalotumika kuunganisha sentensi au sehemu za sentensi ili kuonyesha kusudi, lengo, au matokeo yanayotarajiwa.
Mfano wa matumizi: Alisoma sana ili afaulu mtihani.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.