Maana 1
Neno linalotumika kuashiria kuwa kila kitu, mtu, au jambo katika kundi limejumuishwa bila kubakiza chochote.
Mfano wa matumizi: Kila mwanafunzi alipewa kitabu chake.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.