Maana 1
Lugha bandia ya kimataifa iliyoundwa na Ludwik Lejzer Zamenhof mwaka 1887 kwa lengo la kurahisisha mawasiliano baina ya watu wa mataifa mbalimbali.
Mfano wa matumizi: Espiranto imekusudiwa kutumiwa na watu wa mataifa yote duniani kama lugha ya pili.