Vinjari kwa Herufi

Herufi: U

Vimepatikana vidahizo 2,066 vinavyoanza na herufi U.

Ukurasa 38 / 42 Jumla 2,066

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

utongo

1. Uchafu unaokusanyika machoni. 2. Ndege mdogo wa jamii ya sigi anayeruka kwa makundi.

utoto

1. Kipindi cha maisha cha kuwa mtoto. 2. Mwenendo wa mtu mzima unaofanana na wa mtoto.

utumbulizo

1. Wimbo wa kumbembeleza mtoto. 2. Kitu au tendo la kufariji na kuburudisha. 3. Furaha inayotokana na kusikiliza sauti au muziki. 4. Utungo weny...

utume

1. Jukumu muhimu alilokabidhiwa mtu. 2. Wadhifa wa kupeleka ujumbe wa Mungu.

utumishi

1. Kazi inayofanywa chini ya kanuni za ajira. 2. Idara inayoshughulikia wafanyakazi wa serikali.

utumwa

1. Mfumo wa kuwamiliki na kuwafanyisha watu kazi bila uhuru. 2. Hali ya mtu kumilikiwa na kutumiwa kama mali.