-pya
1. Ya wakati wa hivi karibuni. 2. Ambacho bado hakijatumiwa.
Vimepatikana vidahizo 574 vinavyoanza na herufi P.
1. Ya wakati wa hivi karibuni. 2. Ambacho bado hakijatumiwa.
Kabidhi mtu kitu akipokee.
1. Ruka au elea kuelekea juu angani. 2. Kwangua magamba ya samaki kabla ya kumpika. 3. Toa makaa ya moto kutoka jikoni. 4. Sehemu ya juu inayofu...
Saga nafaka kwa jiwe au kwa kuzitwanga.
1. Mmoja wa watoto wawili waliozaliwa katika uzao mmoja. 2. Sehemu ambapo vitu viwili vinapoanzia kutengana. 3. Vyenye vitu viwili vya aina moja ...
Vyenye kufanana sana kwa mwonekano au sifa.
1. Ingiza kitu katika nafasi kati ya vingine. 2. Mpe mtu cheo au sifa asiyoistahili.
Nafasi iliyobana kati ya vitu viwili.
Bandua kitu kilichopachikwa mahali.
Kasisi wa Kikristo, hasa Mkatoliki au Mwanglikana.
Kiungo cha kifuani kinachoshiriki kupumua.
Beba mzigo kichwani au begani.
Hirizi inayovaliwa kwa imani ya kujikinga na uchawi.
1. Nguo ya kujifunga tumboni. 2. Kijiti cha kuanzishia moto kwa kupekecha.
Kuwa katika hali inayoaminiwa kuwa ya kutawaliwa na pepo.
Kishimo cha kwenye shina kinachosaidia kupanda mti.
Kwepa kitu kwa kupita njia tofauti.
Njia ya pembeni ya kukwepea kizuizi.
Ukingo wa ubao unaoshikilia fito za paa.
Nafasi ambayo mtu au kitu kinaweza kuwapo.
Bomba lenye nafasi tupu ndani yake.
Sehemu ya mguu baina ya nyonga na goti.
Mavazi ya kuvaa wakati wa kulala.
Shina bichi la mahindi au mtama lisilo tamu.
Sehemu ya uso iliyo juu ya macho.
Mnyama wa kufugwa anayejulikana kwa kuwinda panya.
1. Tenga lililosukwa kwa majani ya mnazi. 2. Mtu mwenye tabia ya kusema uongo.
Kuwa na mpaka unaoshirikiwa.
1. Mchanganyiko wa dawa ya jadi unaotumiwa kusingia. 2. Uchungu unaotokana na kuumia.
Suka nywele, mkeka au kitu cha namna hiyo.
Shikilia mtu au kitu juu ya mapaja.
Mwitikio wa msikilizaji baada ya msimulizi kusema paukwa.
Tapakaza kimiminika kwenye uso wa kitu kingine.
Msambazie mtu sifa mbaya.
Cha kwake katika upatanisho wa mahali pa-.
Egesha gari katika nafasi fulani.
1. Ingiza mizigo au abiria katika chombo cha usafiri. 2. Hamisha faili kutoka kifaa chako kwenda mfumo mwingine.
Kifungashio cha karatasi au kadibodi cha kuwekea bidhaa.
Cha kwako katika upatanisho wa mahali pa-.
Doa lenye rangi tofauti na sehemu inayolizunguka.
1. Hamishia chakula kutoka chomboni hadi kwenye sahani. 2. Shusha mizigo kutoka katika chombo cha usafiri. 3. Pokea faili kutoka mfumo wa mbali h...
Mahali palipo mbali na wanaozungumza.
1. Katika wakati uleule bila kuchelewa. 2. Katika sehemu ileile iliyotajwa.
1. Kwamiwa na chakula au maji katika njia ya hewa. 2. Ng'oa au lima magugu kati ya mazao.
Kazi ya kuondoa magugu shambani.
Kofia yenye ukingo mpana unaozunguka kichwa.
Kituo cha matibabu cha wagonjwa walio katika hali mahututi.
1. Nyuzi laini nyeupe zinazotokana na mpamba. 2. Chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya safari. 3. Zonga kitu kwa kiasi kikubwa. 4. Ongeza uzuri k...
Tendo la kuzungusha mikono katika mwili wa mwingine.
Sehemu ya kukaa ukisubiri kuonana na mtu.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.