pachika

0

1. Ingiza kitu katika nafasi kati ya vingine.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alipachika ua katika shada.

2. Mpe mtu cheo au sifa asiyoistahili.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alimpachika nduguye umeneja bila uzoefu.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →