-geni
1. Kisichotokana na asili ya mahali kinapotajwa. 2. Kisichojulikana au kisicho cha kawaida.
Vimepatikana vidahizo 323 vinavyoanza na herufi G.
1. Kisichotokana na asili ya mahali kinapotajwa. 2. Kisichojulikana au kisicho cha kawaida.
Asiyeweza kupata mtoto, hasa mwanamume.
1. Kisicho laini na kisichoharibika kwa kuvunjwa kwa urahisi. 2. Kisicho rahisi kufahamika. 3. Mwenye ujasiri na asiyeogopa. 4. Asiye na huruma....
Jipindue huku na huku mahali ulipolala.
Kitambaa kizito cha kushonea koti au suruali.
Kaa mkubwa wa baharini mwenye magamba marefu yenye ncha nyekundu.
1. Mhimili wa mbao au chuma wa kuzuia kitu kisianguke. 2. Zamu ya kutekeleza ulinzi.
Kiegemeo kinachobeba au kushikilia kitu.
1. Kipande kilichovunjika kutoka chombo cha udongo. 2. Mtu mwenye tabia ya kuwachekesha wengine.
Tafuna kitu chenye ugumu.
Sukuma kitu kipenye kwa nguvu.
Samaki aliyechomwa kwa ajili ya kuliwa kama kitoweo.
Sketi ya kuvaliwa ndani ya mavazi ya mwanamke.
Goma kutekeleza jambo.
Mtu anayefanya ukatili unaowatia watu hofu.
Kifaa cha kubaini na kupima mionzi.
Boronga maelezo hata yakawa magumu kufuatilia.
Mtu aliyebobea sana katika shughuli fulani.
Tetekuwanga, ugonjwa wa kuambukiza wenye vipele na homa.
Ganda la kiberiti lililo tupu.
Karatasi ndefu ya uchapaji inayotolewa kwa masahihisho.
Ngamia mkubwa wa kiume katika lugha ya kishairi.
Tanga linalotumiwa katika chombo cha majini.
Kipimo cha ujazo wa kimiminika cha karibu lita 4.54.
1. Kifuniko kigumu kinachoota juu ya mwili wa samaki au mnyama. 2. Jalada gumu la nje la kitabu.
1. Msaidizi anayembebea mwindaji bunduki. 2. Mtu anayewaelekeza wenzake namna ya kufanya kazi. 3. Mtu anayetafuta wapenzi kwa niaba ya wengine.
Mlango wenye ngazi za kuelekea ndani ya sehemu ya chini ya chombo cha majini.
Ala ya nyuzi inayofanana na gitaa au banjo.
Mlango wa kupita kuingia jahazini.
Seli iliyokomaa kwa kazi ya uzazi.
1. Kitambaa kigumu kisichotiwa rangi, cha namna ya marekani. 2. Aina fulani ya mchele.
Gwaride la askari la kumpokea mgeni rasmi.
1. Idadi ya vitu mia moja. 2. Tumbaku iliyokunjwa kwa kusokotwa.
1. Tabaka la nje linalofunika tunda, yai au hindi. 2. Nyumba tupu inayobaki katika risasi. 3. Kuwa kigumu kwa baridi au kugeuka barafu. 4. Zidi ...
Kifungo cha miti kilichotumiwa kuwazuia watumwa.
1. Nata katika sehemu uliyogandishwa. 2. Egemea au lalia kitu.
Shindilia kitu chini kwa kukipa nguvu kutoka juu.
Kitambaa cha kutandika kiitwacho shuka.
Sababisha kitu kiwe kigumu au kishikamane.
1. Sehemu ya kukamata ya kaa au mnyama wa jamii ya chago. 2. Mguu wa kamba, chago au kaa.
Tenganisha kitu kilichokuwa kimeshika kwa gundi.
Kito chekundu cha kutumiwa katika mapambo.
1. Tibu mtu au maradhi. 2. Rekebisha kitu kilichoharibika.
Jishughulishe na kingine ili usisikilize au kujibu.
Shikilia au kazania jambo kwa nguvu.
1. Jiwe la aina ya chokaa. 2. Kazi au shughuli ya kufanya.
Kitambaa chepesi chenye matundu madogomadogo.
Kifundo kinachoundwa na mkusanyiko wa seli za neva.
1. Tendo au hali ya kufanyiwa tiba. 2. Kifaa cha seremala cha kushikilia vitu vibanane. 3. Sehemu au tendo la kuunganisha vitu. 4. Nyenzo ya kuj...
Kufa na kuoza kwa tishu kwa kukosa damu au kuathiriwa na maambukizi.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.