gamu

Gundi inayotokana na miti au kemikali na hutumika kushikanisha vitu mbalimbali.

Dawa ya kushikiza vitu, aghalabu hutokana na miti au hutengenezwa viwandani.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
gundi

Asili ya neno

Kiingereza: gum