chushi
Kinachochosha au kupunguza hamu.
Vimepatikana vidahizo 508 vinavyoanza na herufi CH.
Kinachochosha au kupunguza hamu.
Kaa kwa kukunja miguu bila makalio kugusa chini.
1. Uza bidhaa kwa rejareja, hasa kwa kuzitembeza. 2. Danganya mtu au mwingize matatani kwa hila.
Punje za mpunga ambazo makapi yake hayakutoka zilipotwangwa.
1. Chagua vinavyofaa na uache visivyotimiza sifa. 2. Panga au tenganisha vitu vya aina tofauti.
Tua au zama kwa jua.
Kaa mdogo anayeishi katika vishimo ufukweni.
Duara za ukuaji zinazoonekana katika sehemu iliyokatwa ya gogo.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.