chuza

0

1. Chagua vinavyofaa na uache visivyotimiza sifa.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Uwase alichuza mbegu za kupanda.

2. Panga au tenganisha vitu vya aina tofauti.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Wafanyakazi walichuza bidhaa kwa aina zake.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →