Vinjari kwa Herufi

Herufi: B

Vimepatikana vidahizo 715 vinavyoanza na herufi B.

Ukurasa 15 / 15 Jumla 715

Vidahizo

15 kwenye ukurasa huu

bweha

Mnyama wa porini wa jamii ya mbwa mwenye masikio yaliyosimama na pua ndefu; mbweha.

bweta

1. Kisanduku kidogo cha kuhifadhia vitu vya thamani. 2. Pumua kwa nguvu au haraka; hema.

bwia

1. Tia mdomoni kiasi kikubwa cha chakula cha ungaunga. 2. Nasa, kamata au shika mtu au kitu.

bwimbwi

1. Unga wa bisi uliochanganywa na asali au sukari kuwa chakula kitamu kizito. 2. Chakula cha unga wa mchele uliotayarishwa na kutiwa sukari, nazi ...