Maana 1
Kunywa kinywaji chote kwa mara moja bila kupumua au kusita.
Mfano wa matumizi: Aliamua kubwia maji yote yaliyokuwa kwenye glasi.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.