agizo
Maelekezo au amri anayopewa mtu ili atekeleze jambo fulani.
Vimepatikana vidahizo 133 vinavyoishia kwa silabi zo.
Maelekezo au amri anayopewa mtu ili atekeleze jambo fulani.
Maneno au dua ya kumtakia mtu mabaya au balaa.
Sehemu maalumu kanisani inayotumiwa kwa ibada ya ubatizo.
Hali au tendo la kuwadharau wengine.
1. Kelele na fujo zinazovuruga utulivu. 2. Matatizo au vurugu zinazofanya mambo yasiende kwa utaratibu.
1. Shinikizo au usumbufu unaomsukuma mtu kufanya jambo. 2. Kipashio cha sentensi kinachoeleza hali, wakati, mahali au namna ya tendo katika kiarifu.
1. Fedha au mali inayotolewa kusaidia shughuli maalumu. 2. Malipo ya uanachama wa shirika au kikundi.
1. Mahali, kitu au hali ambapo jambo huanzia. 2. Sababu inayofanya jambo litokee.
Samaki anayetumiwa kama chambo katika uvuvi wa kasa.
1. Chombo kinachoelea na kutumiwa kuvusha watu au mizigo. 2. Kitu au hali inayosababisha kuchelewa. 3. Jiwe la kunolea visu au vifaa vyenye makali.
Kifaa cha kupimia urefu, kama futikamba.
Chombo cha kufukizia ubani au udi juu ya makaa.
Jambo linalokera au kukirihisha.
1. Tendo la kuingilia mazungumzo au jambo bila kutakiwa. 2. Tabia ya kujitanguliza katika mambo bila subira.
Kitu kinachopatikana bure bila kununuliwa.
1. Taarifa ndogo inayodokeza jambo; fununu. 2. Maelezo mafupi ya kukumbusha jambo.
1. Tendo au hali ya kupenyeza mafusho. 2. Dawa inayotumiwa kutoa mafusho ya kumfukiza mgonjwa.
Wazo au dhana iliyomo akilini.
Tumbaku kavu ya kusokotea sigara.
1. Mazungumzo ya kupitisha wakati na kujiburudisha. 2. Jambo linalozungumzwa sana na watu.
Mtu anayejifanya haelewi jambo.
Vitu vya ZI vilivyo karibu na msikilizaji.
1. Mchezo unaowasilisha matendo ya wahusika wa simulizi. 2. Tendo la kufuata mfano wa mwingine.
Taarifa ya mauzo au manunuzi iliyoandikwa daftari.
Kiasi cha ziada kinachoongezwa juu ya kilichopo.
Kauli au hatua inayozuia kitendo fulani.
Kusimama kwa huduma iliyokuwa ikipatikana.
Ubao wa kuanzia kazi ya kusuka mikeka au vikapu.
Kitu au sehemu inayofanyiwa tendo la kubonyeza.
Neno linalowekwa katika kamusi ili lifasiliwe.
Dalili au habari ndogo inayosaidia kuelewa jambo.
Kitu kinachosaidia kuonyesha jambo lilivyo.
Dutu inayotumiwa kutoa harufu au mafusho kwa kufukizwa.
1. Kipimo au kielelezo kinachotakiwa kufuatwa. 2. Nguo inayotumiwa kuwa mfano wa vipimo vya kushona. 3. Kamba au kijiti chembamba cha kupimia. 4...
1. Sehemu kubwa ya mzigo unaobebwa. 2. Mali au huduma inayotolewa kwa njia ya rushwa.
1. Kitu kinachokamilisha kingine. 2. Kipashio cha kisarufi kinachokamilisha maana ya tungo.
Kitu kinachoburudisha mtu anapofanya shughuli.
Kifaa chenye makali cha kukwaruza alama.
Kizuizi kinachotatiza kufanikiwa au kutenda jambo.
Mahali pa kupandia au kushukia chombo cha majini.
Kitu kinachowekwa ili kuongeza kilichopo.
Punguzo analopewa mnunuzi katika bei ya bidhaa.
Kifaa cha kubana au kufunga vitu pamoja.
Sehemu ya kichwani au miguuni mwa kitanda inayounganishwa na mfumbati.
Kitu kinachofariji au kuleta furaha wakati wa uchovu au huzuni.
Ishara inayotolewa kwa mwendo wa nyusi, jicho au mkono.
Muda wa mapumziko ya kazi unaoruhusiwa kwa mfanyakazi.
Mkusanyiko uliopatikana kwa kuongeza vitu polepole.
Faraja inayopunguza majonzi ya mtu.
Maelekezo yanayotolewa ili yatekelezwe.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.