Vinjari kwa Silabi

Silabi: vu

Vimepatikana vidahizo 148 vinavyoishia kwa silabi vu.

Ukurasa 1 / 3 Jumla 148

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

angavu

1. Yenye kung'aa au kutoa nuru inayofanya mazingira yaonekane vizuri. 2. Inayopitisha mwanga kiasi cha kuruhusu vitu vilivyo upande mwingine vione...

bavu

Wali anaouacha mpishi ndani ya chungu kwa ajili yake baada ya kupakua wengine.

kitovu

1. Kiungo cha mfano wa kamba kinachounganisha kijusi na kondo la nyuma. 2. Kovu la tumboni mahali mtoto alipounganishwa na kondo la nyuma. 3. Mah...

mkulivu

1. Mtu anayesema maneno mengi ya kuropoka yasiyovutia. 2. Mtu mlegevu asiyejituma katika kazi.