bavu

0

Wali anaouacha mpishi ndani ya chungu kwa ajili yake baada ya kupakua wengine.

Nomino
Mfano wa matumizi Baada ya kuwagawia wageni wali, Mwanaisha alijitengea bavu ndani ya chungu.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →