agua
1. Kueleza au kutabiri jambo linalodhaniwa kutokea wakati ujao. 2. Kutafsiri maana inayohusishwa na ndoto, tukio au ishara fulani. 3. Kumhudumia ...
Vimepatikana vidahizo 3 vinavyoishia kwa silabi ua.
1. Kueleza au kutabiri jambo linalodhaniwa kutokea wakati ujao. 2. Kutafsiri maana inayohusishwa na ndoto, tukio au ishara fulani. 3. Kumhudumia ...
1. Mwelekeze mtu apite njia tofauti. 2. Mpotoshe mtu katika mwenendo wake.
1. Nyuzinyuzi za mapambo zilizofumuliwa kwenye ukingo wa nguo. 2. Nyuzi za kitambaa zilizofumuliwa kisha kusokotwa. 3. Nyuzinyuzi za mashavu ya s...
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.