Vinjari kwa Silabi

Silabi: tu

Vimepatikana vidahizo 81 vinavyoishia kwa silabi tu.

Ukurasa 2 / 2 Jumla 81

Vidahizo

31 kwenye ukurasa huu

sapatu

1. Viatu vilivyo wazi nyuma na kufunika mbele ya mguu. 2. Ukili mpana wa miyaa wa kusukia vitu.

tahiyatu

1. Kisomo cha swala kinachosomwa katika kikao cha rakaa. 2. Mkao wa kukaa katika swala mguu mmoja ukiwa chini ya mwingine.

tukutu

1. Mwenye kuingilia mambo ya watu wazima, hasa mtoto. 2. Asiyetulia mahali pamoja, hasa mtoto.

tutu

1. Chakula cha kunde zilizochanganywa na mahindi au mtama. 2. Uvimbe mdogo mgumu wenye rangi nyeusi. 3. Ndege wa kijivu anayefanana na njiwa.

ukurutu

Hali ya ngozi yenye vipele vidogo vinavyoenea na mara nyingi kuwasha; hutajwa pia kama ukwasu au harara.

upatu

1. Chombo cha metali kinachopigwa kutoa sauti. 2. Sinia la kukusanyia zawadi shereheni. 3. Zawadi zilizokusanywa katika sherehe. 4. Kuchangishan...