Vinjari kwa Silabi

Silabi: te

Vimepatikana vidahizo 56 vinavyoishia kwa silabi te.

Ukurasa 1 / 2 Jumla 56

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

kete

1. Magamba madogo magumu yanayotumiwa kama vihesabio vya bao. 2. Mchezo wa bao unaotumia vihesabio. 3. Kwa ukimya na utulivu.

mkate

1. Chakula cha unga uliokandwa kisha kuokwa au kuchomwa. 2. Kitu kilichopondwa na kufinyangwa katika umbo la mkate.

Pentekoste

1. Mkondo wa Ukristo unaohusishwa na imani ya wokovu wa mtu. 2. Sikukuu ya Kikristo ya kushuka kwa Roho Mtakatifu.

pete

1. Pambo la duara linalovaliwa kidoleni. 2. Tundu linalotobolewa sikioni kwa ajili ya pambo.

surupwete

1. Suruali kubwa mno kwa umbo la aliyeivaa. 2. Ovaroli ya kazi ya kufunika mwili na kukinga uchafu.

tete

1. Nyasi ndefu zinazoota penye unyevunyevu mwingi. 2. Takataka zinazobaki katika kazi ya kufua chuma.