babataa
Kushindwa kuumuka au kunenepa hadi kufikia ukubwa unaotarajiwa.
Vimepatikana vidahizo 9 vinavyoishia kwa silabi taa.
Kushindwa kuumuka au kunenepa hadi kufikia ukubwa unaotarajiwa.
Onyesha kwa maneno au ishara kuwa hukubali jambo.
Nishati ya kimiminika ya kuwashia taa au kupikia.
1. Makubaliano ya malipo kwa kazi yenye muda na masharti maalumu. 2. Kauli ya mwisho inayotolewa kuhusu jambo.
1. Makubaliano ya malipo kwa kazi yenye masharti na muda maalumu. 2. Kauli ya mwisho inayotolewa kuhusu jambo.
1. Eneo kubwa kuliko kitongoji lililojitenga na mji. 2. Barabara ya mjini pamoja na eneo linaloizunguka.
1. Kifaa kinachowashwa kwa mafuta au umeme ili kuangaza. 2. Samaki mkubwa bapa mwenye mkia mrefu mwembamba.
Hangaika kutafuta njia ya kutoka katika tatizo.
1. Sehemu ya kuhifadhia nafaka. 2. Uchaga wa kuweka kuni.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.