mtaa

0

1. Eneo kubwa kuliko kitongoji lililojitenga na mji.

Nomino
Mfano wa matumizi Mtaa huo una kituo cha afya.

2. Barabara ya mjini pamoja na eneo linaloizunguka.

Nomino
Mfano wa matumizi Duka la Chantal liko katika mtaa huo.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →