Vinjari kwa Silabi

Silabi: ru

Vimepatikana vidahizo 88 vinavyoishia kwa silabi ru.

Ukurasa 1 / 2 Jumla 88

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

beberu

1. Mbuzi wa kiume. 2. Mwanamume mwenye nguvu nyingi za mwili. 3. Mtu anayeelezwa kwa dharau kuwa na harufu mbaya. 4. Nchi au nguvu inayotawala n...

chururu

1. Kiumbe mdogo anayefanana na buibui. 2. Mtiririko mwembamba wa kimiminika. 3. Chenye maji mengi kuliko inavyotakiwa, hasa mchuzi.

dhukuru

1. Fahamu au kumbuka jambo akilini. 2. Waza, fikiri au zingatia jambo moyoni. 3. Tamka au taja jambo kwa maneno.

duru

1. Zamu katika utaratibu unaozunguka kwa washiriki. 2. Enda kwa kuzunguka au kwa njia ya duara. 3. Zingira kitu au eneo. 4. Zungusha kitu kwa du...

guruguru

1. Mjusi mkubwa anayependelea makazi ya chini ya ardhi. 2. Aina fulani ya samaki wa baharini. 3. Mlio wa mngurumo wa radi wakati wa mvua.

kibeberu

1. Chenye tabia ya ukoloni na kutawala kwa udhalimu. 2. Harufu kali isiyopendeza inayotoka kwapani.

kifaru

1. Mnyama mkubwa mwenye ngozi nzito na pembe puani. 2. Gari la kivita lenye kinga ya chuma na mzinga.

kigwaru

1. Ngoma ya wanawake wa Kilwa inayochezwa faraghani. 2. Ngoma yenye umbo kubwa na refu. 3. Kipele cha sehemu za siri za mwanamke kinachohusishwa ...

kufuru

1. Tenda au sema jambo linalodharau mafundisho ya dini. 2. Maneno au matendo yanayodharau dini.

kunguru

1. Ndege mweusi au mwenye baka jeupe anayelia kwa sauti kubwa. 2. Kitambaa chenye mistari ya rangi inayokatana na kutengeneza miraba.

kuru

1. Kitu cha umbo la mche wa mviringo kisicho na uwazi ndani. 2. Upande wa sarafu ya kale ya Zanzibar wenye mchoro wa mizani.

mkunguru

1. Maradhi yanayohusishwa kimazoea na kuingia mazingira ya hali ya hewa usiyoizoea. 2. Woga au kitete kinachomshika mtu kabla ya kufanya jambo. 3...